Wenger, Giroud watisha England


Olivier Giroud na Arsene Wenger
Kocha Arsene Wenger ametwaa tuzo ya Meneja bora wa Mwezi Machi katika Ligi Kuu ya England huku mshambuliaji wake Olivier Giroud naye akitwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi huo.
Tuzo hiyo ni ya 14 kuitwaa akiwa na Arsenal katika EPL tangu alipotua mwaka 1996.
Rekodi zinaonyesha Kocha wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson ametwaa tuzo hiyo mara 27 hadi kustaafu kwake kuinoa klabu hiyo.
Makocha 8 waliotwaa tuzo hiyo
Sir Alex Ferguson    27        Man United
Arsène Wenger        14        Arsenal         
David Moyes             10        Everton         
Harry Redknapp       8          Portsmouth, Tottenham na  Southampton      
Martin O'Neill          8          Leicester, Aston Villa na Sunderland     
Bobby Robson          6          Newcastle     
Rafael Benítez          6          Liverpool      
Sam Allardyce          6          Bolton na West Ham

Post a Comment

http://www.princetarique.blogspot.com

أحدث أقدم

Comments System

blogger/disqus/facebook

Disqus Shortname

designcart