
Bibi na bwana harusi Reginald Mengi baada ya kufunga ndoa katika kisiwa cha Mauritius
Mwenyekiti mtendaji wa IPP Limited, Dr Reginald Mengi na Miss Tanzania
(2000) Jacqueline Ntuyabaliwe wamefunga ndo wawili hao wamebahatika
kupata watoto wawili mapacha pamoja, watoto hao wa kiume nao waliungana
na wazazi wao kushuhudia viapo vya ndoa hiyo.

Bibi harusi Jacqueline na marafiki zake wa karibu wakiwa kwenye furaha kubwa baada ya kiapo cha wanandoa

Reginald Mengi akimsaidia mke wake Jacqueline kukata keki-ya-harusi

Mr and Mrs Reginald Mengi wakiwa na nyuso za furaha pamoja na watu wao wa karibu

Bibi harusi Jacqueline Ntuyabaliwe

Bibi na bwana Mengi wakitembea katika fukwe za Bahari ya Hindi katika kisiwa cha Mauritius

Mr and Mrs Mengi wakiwa kwenye picha ya pamoja na wana familia wa pande zote mbili

Watoto mapacha wa Mzee Mengi na K-Lynn wakiwa wamebeba pambo maalum
lililoandikwa maneno ya Kiingereza yanayomaanisha karibu Bibi Harusi

Mimi Reginald Mengi naahidi kumpenda Jacqueline Ntuyabaliwe katika shida na raha hadi kifo kitutenganishe