Ni zamu ya Shetta sasa hivi, na hii ndio video yake mpya kamshirikisha Mnigeria.
Prince Tarique0
Ni
zamu ya Shetta ambae ni mkali wa bongofleva aliekaa kimya bila kutoa
chochote kipya kwa zaidi ya miezi 7 na sasa amerudi kwenye headlines na
hii kolabo kampa shavu Kcee wa Nigeria.