Jiji la Nairobi laongoza kwa starehe Afrika


Jiji la Nairobi linavyoonekana usiku
Jiji la Nairobi linavyoonekana usiku
Nairobi inaongoza miji 20 kama mahali kwenye matumizi makubwa katika masuala ya burudani (starehe).
Taarifa hizo zimethibitishwa katika utafiti wa miji mikuu barani uliofanywa na PricewaterhouseCoopers.
Watu wakijirusha katika moja ya klabu Jijini Nairobi
Watu wakijirusha katika moja ya klabu Jijini Nairobi
Kuongezeka huko kulihesabiwa kutokana na matumizi ya Sh bilioni 28 mwaka 2013 ambayo yameendelea kuongezeka kwa asilimia 12.5.
Nairobi pia inatajwa kuwa juu kama kitovu cha wawekezaji wa kigeni Afrika, kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa Jumatano.
Mwaka 2013 Jiji la Nairobi lilitumia sh bilioni 28 kwa ajili ya masuala ya burudani tu
Mwaka 2013 Jiji la Nairobi lilitumia sh bilioni 28 kwa ajili ya masuala ya burudani tu
Miji mingine ambayo inaongoza kwenye sekta nyingine ni Cairo inaongoza kwa miundombinu, Tunis, Tunisia mji bora wa watu, wakati Casablanca inaongoza kwa uchumi.

Post a Comment

http://www.princetarique.blogspot.com

أحدث أقدم

Comments System

blogger/disqus/facebook

Disqus Shortname

designcart