| Chini
 Diamond akiwamwagia pesa washabiki wenye chuki binafsi baada ya 
kumrushia chupa punde tu ya jina lake>>>> kutatwa iliapande jukwaani. Kuona 
hivyo alifungua kibuda cha wekundu wa msimbazi na kukimwaga mbele yao na
 kisha kuanza kuimba baada ya wale wenye fujo kuwa busy na kugombea 
pesa. Hizo ni nyepesi nyepesi na udambwidambwi wa siku ya show ya tigo 
kiboko yao iliyoshirikisha wakali kibao wa mziki wa kizazi kipya kwenye 
viwanja vya leaders kinomdoni. |