PATA STORY JUU YA WIMBO WA BEYONCE NA JAY Z

Hivi ni kweli Beyonce, Jay Z wameiba wimbo wao wa ‘Drunk in Love’? Stori iko hapa

drunk
Mwanamke mmoja nchini Hungary amewalalamikia mastaa Beyonce  na mumewe Jay Z akidai wamemwibia wimbo wake wa ‘Drunk in Luv‘ ambao tayari aliurekodi na kwa sasa umeonekana kama wa kwao.>>>>

Mwanamuziki Monica Miczura maarufu kama Mitsou alisema Bey na Jay Z pamoja na Producer wao Timbaland waliuchukua mashairi ya wimbo huo aliourekodi mwaka 1995 kisha kuutumia bila ruhusa yake.
lovvvvvMitsou alisema hakuwapa tuhusa ya kutumia wimbo wake na mbaya zaidi wimbo huo ulitumika bila ya yeye kujua ..”Waliubadilisha sehemu ndogo sana katika mashairi yake na badala yake wakaongeza vionjo vya mapenzi,ni wimbo wangu unajulikana kwa jina la Bja,Bja Pelem“.
Mwimbaji huo alisema ana nithibitisho vyote na anataka alipwe na pia amemtaka mwanasheria wake kuzuia wimbo huo kuendelea kuchezwa mpaka hapo mashtaka yake yatakaposikilizwa.

Post a Comment

http://www.princetarique.blogspot.com

Previous Post Next Post

Comments System

blogger/disqus/facebook

Disqus Shortname

designcart