Ujenzi wa mabasi ya haraka wakamilika kwa asilimia 70

                      Waziri wa Ujenzi Dkt JOHN MAGUFULI
 
Waziri wa Ujenzi Dkt JOHN MAGUFULI amesema hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa mabasi yaendayo haraka katika jiji la DSM, DART inawezesha kuanza kwa mradi huo ili kupunguza foleni katika jiji la DSM.

Dkt. MAGUFULI ametoa kauli hiyo jijini DSM alipo tembelea mradi huo ambapo mkurugenzi mtendaji wa TANROADS, Mhandisi PATRICK MFUGALE amesema kuwa hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa mradi huo ni zaidi ya asilimia SABINI.

Ujenzi wa mradi wa mabasi yaendayo haraka unatarajia kukamilika mwezi Novemba mwaka huu.

Post a Comment

http://www.princetarique.blogspot.com

أحدث أقدم

Comments System

blogger/disqus/facebook

Disqus Shortname

designcart