IRAN yasema itatekeleza maazimio kuhusu nyuklia


                            Rais wa IRAN HASSAN ROUHANI 
 
Rais wa IRAN HASSAN ROUHANI amesema kuwa, TEHRAN itaendeleza jitihada zake za kuhakikisha kuwa maazimio yote ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya IRAN yanaondolewa.

Rais Rouhani amesema hayo mbele ya wananchi wa mkoa wa FARS kusini mwa IRAN na timu ya mazungumzo ya nyuklia ya IRAN inatumia nguvu za hoja kujadiliana na mataifa makubwa duniani ili maazimio yote ya kidhalimu ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi yake yaondolewe.

Post a Comment

http://www.princetarique.blogspot.com

أحدث أقدم

Comments System

blogger/disqus/facebook

Disqus Shortname

designcart