Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), Dkt. Agnes Kijazi ambaye
alikuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa warsha ya wadau kuhusu huduma
zitolewazo na Mamlaka ya Hali ya Hewa na Uainishaji wa matakwa ya
wadau,iliyofanyika kwenye Hoteli ya Blue Pearl, Ubungo jijini Dar es
Salaam, Machi 24, 2015.
Mkurugenzi wa Huduma za Utafiti na Matumizi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), Dkt.
Ladislaus Chang'a akitoa ufafanuzi kwenye warsha ya wadau kuhusu huduma
zitolewaza na Mamlaka ya Hali ya Hewa na Uainishaji wa matakwa ya
wadau,iliyofanyika kwenye Hoteli ya Blue Pearl, Ubungo jijini Dar es
Salaam, Machi 24, 2015.
Mkurugenzi
Mkuu TMA, Dkt. Agnes Kijazi, Mkurugenzi wa Huduma za Utafiti na
Matumizi TMA, Dkt. Ladislaus Chang'a na Mkurugenzi wa Huduma za Utabiri,
Dkt. Hamza Kabelwa wakiwa katika ufunguzi wa warsha ya wadau kuhusu
huduma zitolewaza na Mamlaka ya Hali ya Hewa na Uainishaji wa matakwa ya
wadau,iliyofanyika kwenye Hoteli ya Blue Pearl, Ubungo jijini Dar es
Salam, Machi 24, 2015.
Baadhi ya washiriki wa warsha ya wadau kuhusu huduma zitolewaza na Mamlaka ya Hali ya Hewa na Uainishaji wa matakwa ya wadau.