Zaidi ya watu 3000 ikiwa ni pamoja na mapacha 
wanaofanana,wasiofanana,mapacha watatu na mapacha wanaoelekea kufanana 
walikutana jijini Melbourne nchini Australia kusherekea siku ya mapacha 
duniani.
Sherehe hiyo uwakutanisha mapacha wa rika zote na uwa kila mtu anaonesha
 kipaji chake pamoja na kuwatuza mapacha wanaofanana kabisa.
Fatilia picha hizo halafu uniambie ni mapacha namba ngapi wanafanana kila kitu.
