Tanzania
akiwemo, Kajala,Wolper,Mzee Majuto,Hemedy,Yusuph Mlela,Irene
Uwoya,Tausi,Mama Abdul,Gabo,Duma,Flora Mvungi pamoja na msanii wa Bongo
Fleva Quick Rocka wapo location wakiandaa filamu mpya ya Manaiki
iliyopewa jina la Wake Up>>>
.
Hizi ni baadhi picha mastaa hao walizoziweka kwenye akaunti zao za instagram wakiwa katika maandalizi ya filamu hiyo mpya.
Waigizaji waliopo kwenye orodha A .
Hizi ni baadhi picha mastaa hao walizoziweka kwenye akaunti zao za instagram wakiwa katika maandalizi ya filamu hiyo mpya.