HII KALI TENA TOKA BONGO FILAMU MPYA WAKE UP

.
.
Waigizaji waliopo kwenye orodha A Tanzania akiwemo, Kajala,Wolper,Mzee Majuto,Hemedy,Yusuph Mlela,Irene Uwoya,Tausi,Mama Abdul,Gabo,Duma,Flora Mvungi pamoja na msanii wa Bongo Fleva Quick Rocka wapo location wakiandaa filamu mpya ya Manaiki iliyopewa jina la Wake Up>>>
.
Hizi ni baadhi picha mastaa hao walizoziweka kwenye akaunti zao za instagram wakiwa katika maandalizi ya filamu hiyo mpya.
.
Kajala na Quck Rocka wakiwa katika maandalizi ya filamu hiyo.
.
Wolper,Kajala na Irene Uwoya wakiwa location.
.
.
.
.
.
Kajala,Flora Mvungi na  Yusuph Mlela wakiwa location kwenye maandalizi ya filamu hiyo mpya.
.
.
.
.
.
.

Post a Comment

http://www.princetarique.blogspot.com

Previous Post Next Post

Comments System

blogger/disqus/facebook

Disqus Shortname

designcart