TUKIO LA AJABU WATU 12 WAUWAWA KATIKA SHAMBILIO UFARASHA



Shambulio katika kituo kimoja cha magazeti nchini Ufaranza

Takriban Watu 12 wameuawa na watano kujeruhiwa katika shambulio lililotekelezwa na watu wasiojulikana...>>>
Shambulio hilo lililitekelezwa kwenye ofisi ya gazeti la Charlie Hebdo jijini Paris nchini Ufaransa.
Watu wenye silaha waliingia kwenye jengo na kuanza kufyatua risasi wakiwa na silaha ambapo inaelezwa milio takriban hamsini ya risasi ilisikika, kisha Watu hao walikimbia kwa gari.
Polisi wanafanya jitihada za kuwapata waliohusika na shambulio hilo. Mji wa Paris umewekwa katika taadhari kubwa ya kiusalama.

Post a Comment

http://www.princetarique.blogspot.com

Previous Post Next Post

Comments System

blogger/disqus/facebook

Disqus Shortname

designcart