Msimu wa Fiesta 2014 umeshaanza na show ya kwanza itafanyika kwenye
uwanja wa CCM Kirumba tarehe 9/8/2014o siku ya Jumamosi...>>>
Hii ni list ya
wasanii watakaofanya show kwenye jukwaa la Fiesta.
Diamond Platinumz
Shaa
Mkubwa na Wanae
Young Killer
Ney Wa Mitego
Mr Blue
Linah
Makomando
Madee
Young Dee
Super Nyota
Pamoja na suprise mbalimbali kwenye jukwaa hilo. Watu wangu wa Mwanza kaeni tayari tutakutana maeneo ya huko