Nyota wa Arsenal Alexis Sanchez amemtumia salamu mwanachuo mwenzake wa
zamani Neymar kabla ya kukutana kwenye mchezo wao wa kirafiki ambapo
timu ya taifa ya Chile itapambana na timu ya taifa ya Brazil siku ya
jumapili kwenye uwanja wa Emirates.
Alexis amesema kuwa ninafuraha sana kukutana tena na rafiki yangu wa zamani kwenye mchezo wa jumapili.
Msimu uliopita wachezaji hawa walikuwa wote kwenye timu ya Barcelona