BET yamteua Mtanzania Kay Madati kuwa Makamu wa rais



Madati_full

BET Network imemtangaza kumwajili Mtanzania Kay Madati kama makamu mkuu wa rais (Executive Vice President) pia Chief Digital Officer wa burudani BET lililoko chini ya kampuni ya Viacom Inc..>>>>


Kufuatia uteuzi huo, Madati atakuwa na kazi ya kuziongoza timu zote za BET kwenye mitandao ya kijamii na mitandao mingine inayounganishwa na BET.com (BET Networks), pia katika uzalishaji wa vipindi na uendeshaji wa teknolojia na bidhaa.

“We are thrilled to welcome Kay to the team, and look forward to his expertise and strategic leadership in the fast-paced world of digital and social media, as consumers continue to turn to BET to discover what is hot and what is next,” alisema Mwenyekiti mtendaji wa BET, Debra L. Lee.

Madati atakuwa chini ya mwenyekiti huyo mtendaji wa BET.

Post a Comment

http://www.princetarique.blogspot.com

Previous Post Next Post

Comments System

blogger/disqus/facebook

Disqus Shortname

designcart