Hawa ndio mastaa wa soka waliotajwa kuwa bora zaidi 2015…

Mashabiki wengi  wa soka wanaamini nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ndiye bora duniani....>>
lakini kuna hili gazeti moja kutoka Ufaransa la L’Equipe limeorodhesha wachezaji 100 waliofanya vizuri kwa mwaka uliopita wa 2015.
Katika orodha hiyo Ronaldo pamoja na mshambuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski wamefanikiwa kuingia hatua ya tano bora.
Mastaa waliofanikiwa kushika nafasi tatu za juu ni Lionel Mess, Neymar pamoja na Luis Suarez.

Post a Comment

http://www.princetarique.blogspot.com

Previous Post Next Post

Comments System

blogger/disqus/facebook

Disqus Shortname

designcart